Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 47.44 / Item Item
Duration
4 Item Time
Coverage
labor_materials Scope
Advance
30% Deposit
Payments
2 Installments
Boundary
Regional Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Shafii Hassani
Shafii Hassani
Fundi kuchomelea mageti,magrili, madirisha na vitanda Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kutengeneza milango ya single layer ya chuma milango hii itakufaa kwa mwonekano wake mzuri, Chuma haziliwi na mchwa, pia nina ujuzi wa kuchomelea milango ya chuma iliyo bora Kwa kutumia vifaa vyangu mwenyewe ambavyo ni vya kisasa pia mteja anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na ushauri ni bure Kwa wateja wangu wote na nina hakikisha kazi ina kamilika kwa muda tulio kubaliana.

Materials Included

  • Bati ngumu (Item)
  • kitasa (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control ofisi yangu ina usalama muda wote hivyo siyo rahisi kutokea wizi wa aina yeyote Nina vyumba vizuri vya kuhifadhia milango yangu ambayo natengeneza
Quality Control Nina zingatia ubora na rangi nzuri ambazo zina zuia mlango kuwa na kutu Nina hakikisha Nina nunua bati ngumu ambazo zina uwezo wa kudumu Kwa muda mrefu
Budget Control Nina mpati mteja wangu gharama nzima zitakazo tumika kwenye utengenezaji wa mlango wake
Schedule Control Nina hakikisha mteja ana pata kazi yake kulingana na mda tulio kubaliana
Satisfaction Control Mwisho Nina muuliza mteja mtazamo wake kulingana na ubora wa milango yangu na kumsikiliza ushauri wake

Category

Welding

Chronology

Published6 Aug 2024

Modified6 Aug 2024

AuthorShafii Hassani

Tags

No tags available

Service Data

Category
Welding
Type
Physical Work
Rate
USD 47.44 / Item
Duration
4 Item
Price Coverage
labor_materials
Advance Payment
30%
Number of Payments
2
Boundary
Regional
Provider
Shafii Hassani
Comments
No reviews recorded