Tuna hakikisha tunapo kutana na mteja na kuona kazi tuna msikiliza na kutoa ushauri pale utakapo hitajika kulingana na kazi ilivyo na pia tuna fanya kazi zetu kisasa zaidi ili kuhakikisha mteja ana ridhika na nyumba ina pendeza
Published30 Jul 2024
Modified30 Jul 2024
AuthorLinus Malekela