Kwa Mapaa ya kuchimbia tuna hakikisha kuna mteremko (slope) mzuri ili maji yasi tuame na kufanya bati kupata kutu na tuna tengeneza njia nzuri za mabomba ili kuteremsha maji pembeni mwa nyumba bila kuingia ndani ya nyumba na kutuama juu ya nyumba pia tuna hakikisha bati Lina fichwa vizuri ili lisi onekane Kwa upande wa nje
Published30 Jul 2024
Modified30 Jul 2024
AuthorLinus Malekela