mimi-ni-fundi-wa-umeme-wa-majumbani-nafanya-wiring-pamoja-na-kurekebisha-umeme-unaosumbua-katika-nyumba – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 1,200,000 / Single floor house 150 sqm Single floor house 150 sqm
Duration
14 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
continental Area
0.0
0
74
0
Quantity (Single floor house 150 sqm)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Hussein Ally
Hussein Ally
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kufanya wiring katika nyumba nyingi hapa nchini na popote ninapofunga umeme hakuna usumbufu wa umeme wowote unaojitokeza. Kazi hii ninaifanya katika ubora wa hali ya juu kutokana na elimu yangu pamoja na uzoefu nilionao. Ninakukaribisha tufanye kazi pamoja kwa usalama wa nyumba yako. Asante

Materials Included

  • wire, mabomba, soket
  • soket breaker, wire
  • 120
  • per-metre

Quality & Control Plan

Safety Control Kutumia vifaa maalumu wakati wa kufanya wiring katika nyumba pamoja na kuchukua tahadhari zote
Quality Control Kutumia nyaya zenye ubora na kufunga umeme usiosumbua mara kwa mara
Budget Control Kupunguza kona nyingi ndani ya nyumba kuepusha kutumia mita nyingi za nyaya
Schedule Control Kufanya kazi kila siku mpaka kazi itakapoisha na kukabidhiwa kwa mteja
Satisfaction Control Kumaliza kazi kwa wakati na kuikabidhi kwa mteja ikiwa nzuri na iliyo salama

Category

Wiring

Chronology

Published5 Sep 2024

Modified5 Sep 2024

AuthorHussein Ally

Tags

No tags available

Service Data

Category
Wiring
Type
Physical Work
Rate
TZS 1,200,000 / Single floor house 150 sqm
Duration
14 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
continental
Provider
Hussein Ally
Hussein Ally |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded