Details
mimi ni fundi wa wiring nimefanya wiring katika nyumba tofautitofauti nipo dar es salaam ila mpaka mikoani nafika na kufanya hivyo kwa bei nafuu kabisa
Quality & Control Plan
Safety Control
kwa kuvaa vifaa vya kujikinga kama reflrctor mabuti gloves na kofia ngumu
Quality Control
kutumia vifaa toka kampuni yenye kuaminika
Budget Control
kutunia vifaa vya kisa vitakavyo epusha garama za nyongeza
Schedule Control
kufika kwa wakati site kutumia vifaa vya kisasa ili kwenda na mda
Satisfaction Control
mteja kukagua kazio wakati tukiwa site na kabla kuondoka site
Chronology
Published23 Aug 2024
Modified23 Aug 2024
AuthorAmani Temba