Tunatoa huduma za ujenzi wa nyumba za maghorofa kwa ajili ya makazi ya familia katika mikoa yote ya Tanzania na maeneo ya Afrika Mashariki, Zambia, na Malawi. Tuna uzoefu na ujuzi wa kina katika sekta ya ujenzi, na tunajenga kila nyumba kwa kuzingatia michoro na miongozo unayotupatia.
Huduma Tunazotoa
1. Ujenzi Kamili wa Nyumba:
– Tunajenga nyumba kuanzia hatua ya msingi hadi kukamilisha kwa umakini mkubwa.
– Tunazingatia viwango vya kitaalamu na taratibu za kisheria za ujenzi.
– Tunaweza kujenga kwa hatua mbalimbali kama vile:
– Msingi
– Kuta
– Zege (slab, nguzo, mapingo, kuta…)
– Ngazi
– Paa
– Madirisha
– Milango
– Sakafu
– Dari
– Rangi
– Vyoo
– Mabomba
– Umeme
– Mandhari
2. Utaratibu wa Ujenzi:
– Tunajenga nyumba kulingana na makubaliano na matakwa ya mteja.
– Tunaweza kusimamia ujenzi wa nyumba zote kwa pamoja au kwa awamu, ikitegemea bajeti na matakwa ya mteja.
– Mteja ana uwezo wa kusimamia ununuzi na uhifadhi wa vifaa vya ujenzi kulingana na mahitaji yake.
3. Muda na Gharama:
– Tunahakikisha tunakamilisha ujenzi wa nyumba ndani ya kipindi cha miezi miwili.
– Tunazingatia ubora wa juu na viwango vya ujenzi vinavyokubalika kimataifa.
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kujenga Nasi
1. Michoro na Vibali:
– Ni muhimu kuwa na michoro kamili ya kitaalamu (kiufundi na usanifu; ikiwezekana mazingira, umeme, mabomba…) na kupata vibali vinavyohitajika kabla ya kuanza ujenzi.
– Tunaweza kusaidia katika kuandaa michoro na kupata vibali vinavyohitajika kwa kushirikiana na wataalamu wetu.
2. Upatikanaji na Usimamizi wa Vifaa:
– Mteja anapaswa kusimamia ununuzi na usambazaji wa vifaa vya ujenzi.
– Tunashauri kuhusu vyanzo vya kuaminika vya vifaa na kuhakikisha vifaa vinapatikana kwa urahisi karibu na eneo la ujenzi.
3. Ukaguzi na Mabadiliko:
– Tunasisitiza mteja kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa kazi inakwenda kulingana na matakwa yake.
– Tunaweka utaratibu wa majadiliano ya mabadiliko ya kazi ili kuhakikisha kuwa ujenzi unakidhi matarajio ya mteja kikamilifu.
Other Services from House Building Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!