Napaua nyumba za kawaida na za kisasa Kwa kutumia vifaa Bora na Kwa umakini wa hali ya juu, namsikiliza mteja, nampa bajeti ya gharama za vifaa(material) kulingana na aina ya nyumba anayo taka kupaua ,pia kwenye ujenzi na hakikisha paa Lina kuwa na slope nzuri ili Kufanya nyumba ipendeze na mteja aridhike na kazi yangu.
Other Services from Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!