Tunatoa huduma za ujenzi wa nyumba maghorofa kwajili ya ya makazi ya familia katika mikoa yote ya Tanzania na hata nje ya nchi kama vile Afrika Mashariki, Zambia, na Malawi. Tukiwa na uzoefu na ujuzi katika ujenzi, tunajenga nyumba kulingana na michoro unayotupatia.
Huduma Tunazotoa
1. Ujenzi Kamili wa Nyumba:
– Tunajenga nyumba kuanzia hatua ya msingi hadi kukamilisha.
– Tunafuata viwango vya kitaalamu na taratibu za kisheria.
– Tunaweza kujenga kwa hatua mbalimbali kama mteja anavyotaka, ikiwa ni pamoja na:
– Msingi
– Kuta
– Zege (slab, columns, beems, walls…)
– Ngazi
– Paa
– Madirisha
– Milango
– Sakafu
– Dari
– Rangi
– Vyoo
– Mabomba
– Umeme
– Mandhari
2. Utaratibu wa Ujenzi:
– Tunajenga nyumba kulingana na makubaliano na mteja.
– Tunaweza kujenga nyumba zote kwa pamoja au kwa awamu kulingana na bajeti.
– Mteja anaweza kujipatia na kuhifadhi vifaa mwenyewe.
3. Muda na Gharama:
– Tunakamilisha ujenzi wa nyumba ndani ya miezi miwili.
– Tunahakikisha nyumba yako inajengwa kwa ubora na viwango vya juu.
Vitu vya Kuzingatia Kabla ya Kujenga Nasi
1. Michoro na Vibali:
– Hakikisha una michoro ya kitaalamu (architectural na structural lazima; ikiwezekana landscaping, electrical, plumbing, mechanical…) na vibali vya ujenzi.
– Tunaweza kusaidia katika kuandaa michoro na kupata vibali vinavyohitajika.
2. Upatikanaji na Usimamizi wa Vifaa:
– Mteja anapaswa kusimamia ununuzi na utunzaji wa vifaa vya ujenzi.
– Hakikisha vifaa vinapatikana kwa urahisi karibu na eneo la ujenzi.
3. Ukaguzi na Mabadiliko:
– Mteja anatakiwa kukagua kazi kwa kila hatua ili kuhakikisha inafanyika kwa usahihi.
– Tutajadili mabadiliko yoyote ya kazi ili kuhakikisha jengo linakidhi matakwa yako.
Other Services from House Building Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!