Rangi nyeupe ktk nyumba yako, maana na uzuri wake
Nyeupe ni rangi ambayo inaleta ladha fulani ktk maisha yetu ya kila Siku. Ni rangi inayo balance na rangi zote. Inaleta saikolojia ya usafi, unadhifu, utakatifu, unyoofu, amani, mwanzo mpya, ukamilifu, isiyo na makosa… Rangi nyeupe ni rangi ambayo ukiipaka ktk nyumba yako basi itaifanya nyumba yako ipendeze na pia wewe utaonekana wa kutofauti kwa […]
Fahamu zaidi unapotaka kujenga nyumba bati zisizoonekana (Contemporary houses za Kitanzania)
CONTEMPOARY HOUSES nini? – Contemporary maana yake ni MODERN. Hivyo hizi ni nyumba za kisasa zaidi (zinazo-trend) – Zinasifa za kuwa simple, smart, minimalistic, clear. Zina sura bapa(planes), box style, nyuzi pembe nne, straightness, rangi chache zaidi nyeupe na gray, open space, less privacy as freedom, madirisha na milango mikubwa – Zinatabia ya kutumia vifaa […]
MAANA YA SEBULE – INAPASWA IWEJE?
Sebule kwa kawaida ni sehemu ya ndani ya nyumba ambayo ni maalumu kwa kupumzikia, kujumuika na kupokelea wageni. Kuna muingiliano wa maneno haya living room – sitting room – lounge – lounge room – front room kutegemea na eneo na mabadiliko ya kitamaduni. Maana ya sebule mimi binafsi nimeiona ipo katika KUPUMZIKA, KUJUMUIKA na KUPOKEA […]
MAMBO AMBAYO WANAWAKE HUYAJALI NA AMBAYO HAWAYAJALI SANA KATIKA UJENZI WA NYUMBA
Katika miaka kadha ambapo nimekuwa nikiandaa miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za kuishi, moja ya vitu ambavyo nimevigundua ni nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa nyumba. Wanawake wamekuwa na mtizamo na mapendeleo tofauti katika ujenzi wa nyumba tofauti na wanaume. Katika familia ambayo kuna mume na mke, utofauti ni rahisi sana kuonekana katika mitazamo […]