Details
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa mda mrefu katika ufanyaji wa plumbingi kwenye nyumba kwa ustani na kwa kuzingatia ubora wa viwango vya khali ya juu
Quality & Control Plan
Safety Control
kwa kuvaa vifaa vya kijikinga kama gloves buti na mask
Quality Control
kwa kutumia vifaa vinvyo dumu kwa mda mrefu
Budget Control
kwa kutumi vifaa imara vya bei nafuu
Schedule Control
kwa kuzingatia mda wakufika kazini
kwa kutumia vifaa ambavyo vitarahisisha kazi na kuokoa mda
Satisfaction Control
mteja kukagua na kujaribu mfumo wa maji na kuona kama una hitilafu yoyote
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorBrayson Mrema