Details
Nina uzoefu wa kufunga mabomba ya maji safi ya moto na baridi katika nyumba zote nchini pamoja na mabomba ya maji taka kwa gharama nafuu
Materials Included
- mabomba pamoja na loki zake (30 Per Single Floor House 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
kufunga mabomba vizuri kuepuka kuvuja kwa maji na kuharibu ukuta
Quality Control
kufunga kwa ustadi mabomba yote yenye ubora ambayo yatakaa kwa muda mrefu
Budget Control
kufanya kazi kwa ufanisi na kumaliza ndani ya muda mfupi
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku mpaka kazi itakapoisha.
Satisfaction Control
Kumsikiliza mteja na kufunga namna anavyohitaji na kukamilisha kazi kwa wakati, pamoja na kumshauri inapobidi
Chronology
Published27 Aug 2024
Modified27 Aug 2024
AuthorNchimika Shinga