Details
Nina ujuzi wa kufunga mifumo ya CCTV camera Ili kuhakikisha nyumba yako au ofisi yako inakuwa na ulinzi muda wote kwani nina tumika vifaa vilivyo bora na vya kisasa pia nina mafundi wenye uzoefu na kazi hizi pamoja na ushauri tuna mpatia mteja wetu bure
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa camera Zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa camera tunazo enda kufunga
Tuna hakikisha camera zote Zina chukua matukio vizuri
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima za vifaa vitakavyo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Category
Security Systems
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorChege Mazuku