Details
Nina toa huduma ya ufungaji wa umeme wa jua Kwa kutumia vifaa bora vya kisasa na niko na mafundi ambao wame bobea kwenye swala Zima la ufungaji wa solar panel,pia tunatoa ushauri Kwa mteja wetu bure kabisa na kuhakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa solar zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha mteja tuna mshauri atumie solar zenye ubora na zinazo Kaa kwamuda mrefu bila kuharibika
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu kwani tuna mpatia gharama nzima itakayo enda kutumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi Zina Isha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu kwani tuna toa huduma iliyo bora kabisa
Category
Solar Electricity
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorChege Mazuku