Details
Nina toa huduma ya kufunga power backup Kwa lengo la kusaidia nyumba au ofisi isiwe na changamoto ya umeme na tuna tumia vifaa vya kisasa na tuna funga automatic Ili kuruhusu kuji badili na kuchukua nafasi pale umeme unapo katika ,pia tunao mafundi walio bobea na wenye uzoefu na kazi hizi na mteja ana patiwa ushauri Bure kabisa.
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa power backup Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha mteja ana shauriwa kutumia ma battery yaliyo imara na ya kisasa
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima itakayo tumika kwenye ujenzi huo
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa kazi yake Kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu na kumsikiliza Kwa ushauri
Category
Solar Electricity
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorChege Mazuku