Details
Nina jenga mabanda ya kisasa ambayo ni makubwa na yanayo weza kuingiza kuku zaidi ya mia moja na pia yana dumu kwa muda mrefu pia nina hakikisha nampatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda na pia nina hakikisha mteja wangu nampatia ushauri juu ya ujenzi wa banda lake na nina hakikisha natumia vipimo kwenye ujenzi wa banda la mteja wangu na nina hakikisha banda lina Isha kwa muda tulio kubaliana.
Materials Included
- Mbao
- 4×2
- 100
- per-item
- Mbao
- 2×2
- 70
- per-item
- Mbao
- 1×10
- 10
- per-item
- Mbao
- 1×6
- 8
- per-item
- Misumari
- 1.5 inch
- 4
- per-kilogram
- Misumari
- 4 inch
- 5
- per-kilogram
- Misumari
- 3 inch
- 4
- per-kilogram
- Misumari
- Kwaajili ya bati
- 4
- per-kilogram
- Mabati
- Kwaajili ya kuezekea paa
- 30
- per-item
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha kuna kuwa na ulinzi wa kutosha wakati wa ujenzi.
Quality Control
Nina zingatia ubora wa vifaa Nina zingatia vipimo
Budget Control
Nina hakikisha mteja wangu ana jua gharama nzima za ujenzi wa banda lake
Schedule Control
Nina zingatia muda wa kuanza kazi yangu na kumaliza kazi yangu
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu ninayo ifanya.
Category
Building Designing
Chronology
Published12 Sep 2024
Modified12 Sep 2024
AuthorBenedict Alexander