Nina jenga mabanda ya kuku kwa kuzingatia ubora na maelekezo ya mteja wangu pia nafika mikoa yote Tanzania. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 250,000 / m² m²
Duration
3 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
144
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Benedict Alexander
Benedict Alexander
Mabanda ya mifugo Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku kwa ubora na ubunifu wa hali ya juu kwani nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho taka na pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda la kuku na kuhakikisha pia nina mpatia mteja wangu ushauri wa namna banda lake liwe na nina hakikisha mteja ana ridhika na kazi yangu pia nina tumia vipimo vinavyo niwezesha kufanya kazi yangu na kuifanya iweze kuzidi kuvutia.

Materials Included

  • Mbao
  • 2×4
  • 25
  • per-item
  • Mbao
  • 2×2
  • 15
  • per-item
  • Mbao
  • 1×10
  • 5
  • per-item
  • Bati
  • Kwaajili ya kuezekea paa
  • 3
  • per-item
  • Misumari
  • 4 inch
  • 5
  • per-kilogram
  • Misumari
  • Kwaajili ya bati
  • 2
  • per-kilogram

Quality & Control Plan

Safety Control Nina fanya shughuli za ujenzi site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa vifaa Nina zingatia ubora wa vipimo
Budget Control Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi
Schedule Control Nina mpatia mteja wangu muda wa kukamilisha kazi yake
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu

Category

Building Designing

Chronology

Published12 Sep 2024

Modified12 Sep 2024

AuthorBenedict Alexander

Tags

No tags available

Service Data

Category
Building Designing
Type
Physical Work
Rate
TZS 250,000 / m²
Duration
3 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
Benedict Alexander
Benedict Alexander |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded