Details
Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku ambayo yana uwezo wa kuingia kuku kuanzia mia na zaidi kwa kuzingatia ujuzi na ubunifu wa kisasa pia nina tumia vifaa imara ambavyo vina nisaidia kwenye swala zima la kujenga banda langu pia nina hakikisha mteja wangu namsikiliza kwa kile anacho kitaka na pia nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima za utengenezaji wa banda la kuku na Bata na kuhakikisha mteja ana ridhika na kazi yangu na mwisho kabisa tuna zingatia muda wa kumaliza kazi zetu.
Materials Included
- Tofali
- Kwa ajili ya msingi na ukuta
- 500
- per-item
- Wire mash
- Kwa ajili ya local cages na madirisha
- 10
- per-metre
- Mbao
- 2×4
- 90
- per-item
- Mbao
- 2×2
- 50
- per-item
- Mbao
- 1×10
- 15
- per-item
- Mbao
- 1×6
- 10
- per-item
- Mabati
- Kwa ajili ya kuezekea paa
- 40
- per-item
- Misumari
- 1.5 inch
- 4
- per-kilogram
- Misumari
- 4 inch
- 5
- per-kilogram
- Misumari
- 3 inch
- 5
- per-kilogram
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi za ujenzi wa nanda zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa kisasa kwenye ujenzi Nina zingatia vipimo
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda
Schedule Control
Nina hakikisha kazi ina isha kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Category
Building Designing
Chronology
Published11 Sep 2024
Modified11 Sep 2024
AuthorDavid Tribus