Nina toa huduma ya ujenzi wa mabanda ya mifugo kama vile ng’ombe, mbuzi kondoo na aina mbalimbali za mifugo kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 250,000 / m² m²
Duration
20 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
worldwide Area
0.0
0
85
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Jefferson Rusali
Jefferson Rusali
Fundi wa mabanda ya mifugo Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya mifugo wa aina mbali mbali kama vile ng'ombe mbuzi kondoo nguruwe na aina mbambali za mifugo kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu kwani nina mpatia ushauri bure kabisa na nina mpatia gharama nzima za ujenzi wa banda lake na kukamilisha kazi yangu kwa muda tulio kubaliana na nina hakikisha natumia vipimo kwenye ujenzi wangu mwanzo hadi mwisho wa kukamilisha kazi ya ujenzi.

Materials Included

  • Cement
  • Kwaajili ya msingi na ukuta
  • 42
  • per-item
  • Bati
  • Kwa ajili ya kuezekea paa
  • 20
  • per-item
  • Mbao
  • 2×4
  • 90
  • per-item
  • Mbao
  • 2×2
  • 32
  • per-item
  • Misumari
  • 1.5 inch
  • 4
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 3 inch
  • 3
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 4 inch
  • 12
  • per-kilogram
  • Misumari
  • Kwaajili ya bati
  • 4
  • per-kilogram

Quality & Control Plan

Safety Control Ulinzi ni wakutosha kwani kazi zote zina fanyika site
Quality Control Ubora wa vipimo una zingatiwa
Budget Control Mteja anapatiwa gharama nzima za ujenzi wa banda lake
Schedule Control Tuna zingatia muda wa kuanza na kumaliza kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu

Category

Building Designing

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Sep 2024

AuthorJefferson Rusali

Tags

No tags available

Service Data

Category
Building Designing
Type
Physical Work
Rate
TZS 250,000 / m²
Duration
20 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
worldwide
Provider
Jefferson Rusali
Jefferson Rusali |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded