Nina jenga mabanda ya kuku ya kisasa na yanayo dumu kwa kutumia mbao kwa huduma hii nakufikia popote pale Tanzania. – Makazi | Home
Makazi | Home
0 Sign In
Rate
TZS 800,000 / m² m²
Duration
20 day Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
countrywide Area
0.0
0
59
0
Quantity (m²)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
David Tribus
David Tribus
Fundi mabanda ya kuku Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya kuku imara kwa kutumia mbao na nina zingatia ubora wa kazi na kufanya mteja aweze kuridhika na kazi yangu nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda na kuhakikisha kazi ina anza kwa wakati na kukamilika kwa muda tulio kubaliana pia nina hakikisha mteja wangu ana patiwa ushauri bure kabisa kulingana na uzoefu niliyo nao kwenye kazi hii na nina ambatana na mafundi wenzangu ambao wame bobea na wana fanya kazi ina kuwa ya ubora wa hali ya juu.

Materials Included

  • Mbao
  • 4×2
  • 100
  • per-item
  • Mbao
  • 2×2
  • 50
  • per-item
  • Mbao
  • 1×6
  • 15
  • per-item
  • Mbao
  • 1×10
  • 45
  • per-item
  • Mabati
  • Kwa ajili ya kuezekea paa
  • 45
  • per-item
  • Misumari
  • 1.5 inch
  • 5
  • per-kilogram
  • Misumari
  • 3 inch
  • 4
  • per-kilogram
  • Misumari
  • Kwaajili ya bati
  • 5
  • per-kilogram

Quality & Control Plan

Safety Control Nina fanya kazi zote za ujenzi site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia vipimo Nina zingatia ubora wa vifaa vya kazi
Budget Control Nina mpatia mteja wangu gharama nzima zitakazo tumika kwenye ujenzi huo
Schedule Control Nina zingatia muda wa kuanza kazi na kukabidhi kazi kwa mteja wangu
Satisfaction Control Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha mteja ana patiwa kile anacho kihitaji

Category

Building Designing

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Sep 2024

AuthorDavid Tribus

Tags

No tags available

Service Data

Category
Building Designing
Type
Physical Work
Rate
TZS 800,000 / m²
Duration
20 day
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
countrywide
Provider
David Tribus
David Tribus |
0.0 (0)
| 0 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded