Details
Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya Bata ambayo ni simple na haya hitaji gharama nyingi kwenye ujenzi wake na mabanda haya yana sehemu ya ndani na sehemu ya nje ambayo ina wasaidia Bata kwenye kuwa weka chakula pia sehemu ya ndani ina kuwa kwa ajili ya Bata kupumzika na kulala na hata kutaga mayai pia nina mpatia mteja wangu gharama ya vifaa ambavyo vitatumika kwenye ujenzi wa banda lake na kuhakikisha ana ridhika na kazi yangu na pia nina zingatia muda wa kumaliza kazi ya ujenzi wa banda.
Materials Included
- Cement
- Kwa ajili ya kusakafia sakafu
- 1
- per-item
- Mirunda
- Kwa ajili ya kuchimbia nguzo za banda
- 12
- per-item
- Bati
- Kwa ajili ya kuezekea banda
- 20
- per-item
- Mbao
- 2×4
- 12
- per-item
- Mbao
- 2×2
- 16
- per-item
- Fensi wire
- Kwa ajili ya kuweka fensi kuzunguka banda la bata
- 12
- per-metre
- Monkey wire
- 12
- per-metre
- Misumari
- Nch 4
- 4
- per-kilogram
- Misumari
- Nch 3
- 2
- per-kilogram
- Misumari
- Kwaajili ya bati
- 5
- per-kilogram
Quality & Control Plan
Safety Control
Ujenzi unafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa kazi na vipimo
Budget Control
Nina mpatia mteja gharama nzima za ujenzi wa banda
Schedule Control
Nina zingatia muda wa kuanza na kumaliza kazi
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu
Category
Building Designing
Chronology
Published11 Sep 2024
Modified11 Sep 2024
AuthorJefferson Rusali