Details
Nina ujuzi wa kufunga solar backup Kwa suluhisho la mgao mfumo huu ni silent hauna kelele kama generator na tuna funga automatic kiasi huwezi ku hata kuhisi kuwa umeme umebadilika pindi unapo chukua nafasi, tualike tukuwekee miundo mbinu ya kisasa kabisa ya umeme
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna fanya kazi zote site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha tuna funga solar automatic
Budget Control
Tuna hakikisha tuna mpigia garama zote mteja
Schedule Control
Tuna hakikisha tuna kabidhi kazi Kwa mteja wetu Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana tuamini na tuna mfanyia kazi Kwa ubora
Category
Solar Electricity
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorAmbwene Lupenza