Details
Nina uzoefu wa kufunga solar panel majumbani Kwa lengo la kupandisha maji kwenye visima Kwa kutumia vifaa bora na mafundi walio bobea pia tuna toa ushauri Bure kabisa Kwa mteja wetu na kumpatia gharama nzima ya material zitakazo tumika
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa solar zinafanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tunatumia material zenye ubora na zinazodumu Kwa muda mrefu
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda ulio pangwa
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Category
Solar Electricity
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorAmbwene Lupenza