Details
Nina toa huduma ya kufunga solar Kwa kutumia panel za kisasa na zenye ubora Kwa kutumia vifaa bora na mafundi wenye uzoefu na pia tuna msikiliza mteja Kwa kile anacho kitaka pia tunatoa ushauri Bure kabisa Kwa mteja wetu
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna fanya kazi zote site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha mteja anashauriwa kununua panel zenye ubora na za kisasa
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana pewa gharama nzima ya uwekaji wa solar
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi Zina Isha Kwa wakati tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhika na kazi zetu
Category
Solar Electricity
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorAmbwene Lupenza