Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Sq Metre Sq Metre
Duration
15 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Elias Sagungu
Elias Sagungu
Fundi bomba Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kufunga mifumo ya maji safi na maji taka Kwa ubora na Kwa gharama nafuu,pia niko na mafundi ambao Wana ujuzi wakutosha katika swala Zima la ufungaji wa mifumo ya maji na mteja ana patiwa ushauri bure kabisa Kwa kuzingatia aina ya mifumo anayo taka pamoja na mabomba ya kutumia

Materials Included

  • Bomba za maji safi na maji taka (Metre)
  • Cement (Per Kilogram)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ujenzi Zina fanyika site hivyo usalama upo wa kutosha
Quality Control Tuna zingatia ubora wa kazi na tuna funga mabomba vizuri Tuna mshauri mteja atumie mabomba yaliyo imara Kwa kumpatia majina ya kampuni nzuri za mabomba
Budget Control Tuna hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya ujenzi
Schedule Control Tuna kabidhi kazi Kwa mteja Kwa muda maalu tulio kubaliana
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu

Category

Plumbing

Chronology

Published27 Aug 2024

Modified27 Aug 2024

AuthorElias Sagungu

Tags

No tags available

Service Data

Category
Plumbing
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Sq Metre
Duration
15 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Elias Sagungu
Comments
No reviews recorded