Details
Nina uzoefu wa kufunga ma Tanki ya maji Kwa ubora na gharama na fuu pia niko na mafundi wasaidizi amba o Wana fanya kazi ziwe na ubora wa hali ya juu pia mteja ana shauriwa bure kabisa
Materials Included
- Tanki (Item)
- Bomba (Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tank Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa mabomba na tank la maji
Budget Control
Mteja ana patiwa gharama nzima ya ufungaji wa tank
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa Kazi yake Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published27 Aug 2024
Modified27 Aug 2024
AuthorElias Sagungu