Hili ni banda la mbwa mmoja. Kiujumla, tunatengeneza mabanda ya mbwa ambayo yana uwezo wa kumfaa mbwa mmoja na kuendelea. Pia, nina zingatia usalama wa mbwa kwani mabanda yanawekewa makomeo imara ili mbwa awe salama zaidi. Aidha, ninampatia mteja wangu gharama kamili ya utengenezaji wa banda la mbwa na ninahakikisha kumpatia ushauri bure kabisa.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 2Γ4 | 15 | per-item |
Mbao | 2Γ2 | 10 | per-item |
Other Services from Carpentry, Wood Work Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!