Tunatengeneza milango ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu, kwa kutumia mbao ngumu aina ya mkongo na mninga. Milango yetu inafaa kwa nyumba za kisasa, ofisi, na taasisi mbalimbali. Inadumu kwa muda mrefu, inavutia kwa muonekano, na inaimarisha usalama. Tunazingatia viwango bora vya useremala na kumalizia kwa ustadi wa hali ya juu.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | |||
Misumari | |||
Gundi mbao |
Other Services from Door Installation, Wood Work Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!