Details
Nina ujuzi wa kuweka mifumo ya maji Safi na maji taka ndani ya Choo ,Nina tumia vipimo ambavyo vina niwezesha kuchora mifumo yangu vyema kabla ya kuweka mabomba pia nina mpatia mteja wangu ushauri bure na kumpa gharama nzima itakayo enda kutumika kwenye ujenzi huo
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za uwekaji wa mabomba zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tunazingatia vipimo
Tuna hakikisha tuna tumia mabomba imara
Budget Control
Mteja ana patiwa orodha nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhika na kazi yetu
Chronology
Published15 Aug 2024
Modified15 Aug 2024
AuthorDickson Mrema