Details
Nina ujuzi wa kufunga mifumo ya maji Safi na maji taka ndani ya nyumba Kwani nina tumia mabomba yaliyo imara pamoja na vipimo ambavyo vina niwezesha kupima eneo langu la kazi vyema na kuchora namna mabomba yanatakiwa kupita pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima itakayo tumika na ushauri ni bure kabisa
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa mabomba zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha tuna tumia vipimo wakati wa kuchora sehem za kuweka mabomba
Tuna hakikisha tuna tumia mabomba imara
Budget Control
Tuna mpigia mteja gharama zitakazo tumika kwenye ufungaji wa mabomba
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna muuliza mteja kama ameridhishwa na kazi yetu na kusikiliza ushauri wake
Chronology
Published15 Aug 2024
Modified15 Aug 2024
AuthorDickson Mrema