Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Item Item
Duration
2 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Dickson Mrema
Dickson Mrema
Fundi plumbing Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina utalam wa kufunga mabomba kwenye ma tanki ya maji Kwani nina hakikisha maji Yana kuwa na presha kubwa ambayo itasaidia kushuka na kusambaa sehem zote ambazo yanatakiwa kwenda, pia mteja anapatiwa ushauri na bajeti ya vifaa vitakavyo tumika

Materials Included

  • Mabomba (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za uwekaji wa mabomba zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control Tunazingatia mabomba yaliyo imara Tuna weka Mita namba ili mteja ajue maji yametumika kiasi gani
Budget Control Tuna mpatia mteja wetu mahesabu ya gharama zitakazo tumika
Schedule Control Tuna hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda
Satisfaction Control Tuna muuliza mteja yeye ana ionaje kazi yetu

Category

Plumbing

Chronology

Published15 Aug 2024

Modified15 Aug 2024

AuthorDickson Mrema

Tags

No tags available

Service Data

Category
Plumbing
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Item
Duration
2 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Dickson Mrema
Comments
No reviews recorded