Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Sq Metre Sq Metre
Duration
20 Sq Metre Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Dickson Mrema
Dickson Mrema
Fundi plumbing Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kufunga mifumo ya maji Safi ndani ya nyumba Kwani nina tumia mabomba yaliyo imara pamoja na vipimo ambavyo vina niwezesha kupima eneo langu la kazi vyema na kuchora namna mabomba yanatakiwa kupita pia nina mpatia mteja wangu gharama nzima itakayo tumika na ushauri ni bure kabisa

Materials Included

  • Mabomba (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ufungaji wa mabomba zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control Tuna hakikisha tuna tumia vipimo wakati wa kuchora sehem za kuweka mabomba Tuna hakikisha tuna tumia mabomba imara
Budget Control Tuna mpigia mteja gharama zitakazo tumika kwenye ufungaji wa mabomba
Schedule Control Tuna hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control Tuna muuliza mteja kama ameridhishwa na kazi yetu na kusikiliza ushauri wake

Category

Plumbing

Chronology

Published15 Aug 2024

Modified15 Aug 2024

AuthorDickson Mrema

Tags

No tags available

Service Data

Category
Plumbing
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Sq Metre
Duration
20 Sq Metre
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Dickson Mrema
Comments
No reviews recorded