Nina jenga mabanda ya kisasa ambayo ni makubwa na yanayo weza kuingiza kuku zaidi ya mia moja na pia yana dumu kwa muda mrefu pia nina hakikisha nampatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda na pia nina hakikisha mteja wangu nampatia ushauri juu ya ujenzi wa banda lake na nina hakikisha natumia vipimo kwenye ujenzi wa banda la mteja wangu na nina hakikisha banda lina Isha kwa muda tulio kubaliana.
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Mbao | 4Γ2 | 100 | per-item |
Mbao | 2Γ2 | 70 | per-item |
Mbao | 1Γ10 | 10 | per-item |
Mbao | 1Γ6 | 8 | per-item |
Misumari | 1.5 inch | 4 | per-kilogram |
Misumari | 4 inch | 5 | per-kilogram |
Misumari | 3 inch | 4 | per-kilogram |
Misumari | Kwaajili ya bati | 4 | per-kilogram |
Mabati | Kwaajili ya kuezekea paa | 30 | per-item |
Other Services from Building Designing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!