Nina ubunifu wa kujenga mabanda ya kuku wa kienyeji na kisasa ambayo yana uwezo wa kuingiza kuku zaidi ya mia moja ,na pia nina zingatia vipimo katika ujenzi na ukataji wa mbao kwa umakini na kuhakikisha mteja wangu ana ridhishwa na kazi yangu pia Kabla ya kuanza kazi nina msikiliza mteja wangu yeye anataka banda la aina gani katika ujenzi wa banda hilo na nina mpigia mahesabu ya gharama zitakazo tumika hadi kukamilisha ujenzi wa banda hilo na ushauri kwangu ni bure kabisa kwa wateja wangu na nina zingatia muda wa kuanza kazi na kukabidhi kazi kwa wakati
Name | Specifications | Quantity | Unit |
---|---|---|---|
Cement | Kwa ajili ya kujenga msingi na ukuta | 42 | per-item |
Tofali | Kwa ajili ya kujenga msingi na ukuta | 400 | per-item |
Mbao | 2Γ4 | 90 | per-item |
Mbao | 2Γ2 | 32 | per-item |
Mbao | 1Γ10 | 10 | per-item |
Mbao | 1Γ6 | 10 | per-item |
Wire mash | Kwa ajili ya madirisha | 25 | per-metre |
Chicken wire roller | 1 | per-metre | |
Misumari | 1.5 inch | 4 | per-kilogram |
Misumari | 3 inch | 3 | per-kilogram |
Misumari | 4 inch | 15 | per-kilogram |
Other Services from Building Designing Categories
You May Like Again
Cancellation:
Return / Exchange:
Other Profesionals
Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!